Kiuab-Meto
Mandhari
Kiuab-Meto (pia Kiatoni) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wauab-Meto kwenye kisiwa cha Timor. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiuab-Meto imehesabiwa kuwa watu 700,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuab-Meto iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiuab-Meto kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiuab-Meto
- lugha ya Kiuab-Meto katika Glottolog
- lugha ya Kiuab-Meto kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiuab-Meto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |