Kituotomb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kituotomb ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Watuotomb. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kituotomb imehesabiwa kuwa watu 1000 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kituotomb iko katika kundi la A40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituotomb kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.