Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha
Kiingereza: Arusha International Conference Centre
Arusha International Conference Centre.jpg
Anuani Mtaa wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mahali Arusha, Tanzania
Anwani ya kijiografia 3°22′4″S 36°41′46″E / 3.36778°S 36.69611°E / -3.36778; 36.69611
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Wizara ya Mambo ya Nje
Kilifunguliwa 1977
Uwezo
Mtindo wa kukalia darasani 25-70
Kukalia Ukumbi 160-1,350
Mtindo wa karamu 130-2,500
Eneo la ndani
 Jumla ya eneo mita za mraba 5,420
Tovuti aicc.co.tz

Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha ni ukumbi wa mikutano wa kimataifa mjini Arusha nchini Tanzania.