Nenda kwa yaliyomo

Kituma-Irumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kituma-Irumu ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watuma na Wairumu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kituma-Irumu imehesabiwa kuwa watu 1100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kituma-Irumu iko katika kundi la Kifinisterre.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituma-Irumu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.