Kitulehu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitulehu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watulehu kwenye kisiwa cha Ambon. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kitulehu imehesabiwa kuwa watu 18,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitulehu iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitulehu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.