Kitrieng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitrieng ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Watrieng. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitrieng imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitrieng iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitrieng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.