Kitoweo cha Kontomire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitoweo cha Kontomire ni chakula kinachopikwa na majani ya magimbi na (kinajulikana kama "kontomire" na watu wa lugha ya Akan), Huandaliwa manyumbani na ni maarufu sana Nchini Ghana.[1] Kontomire huliwa na vyakula mbalimbali ikiwemo[2][3]Wali, magimbi, na ndizi.[4] Kwa Jina linguine huitwa Palama sauce kutokea kwa watu wa Elmina.[5]

kontomire, mayai ya kuchemsha na ndizi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]