Nenda kwa yaliyomo

Kitoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitoto ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Watoto. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kitoto imehesabiwa kuwa watu 1400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitoto iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitoto kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.