Kitoraja-Sa'dan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitoraja-Sa'dan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watoraja-Sa'dan kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitoraja-Sa'dan imehesabiwa kuwa watu 750,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitoraja-Sa'dan iko katika kundi la Kisilawesi-Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitoraja-Sa'dan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.