Kitontemboan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitontemboan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watontemboan kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kitontemboan imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitontemboan iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitontemboan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.