Kitonjon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitonjon ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire iliyozungumzwa na wahunzi miongoni mwa Wadjimini. Hakuna wasemaji wa Kitonjon waliobaki, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonjon iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonjon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.