Kitombulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitombulu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watombulu kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kitombulu imehesabiwa kuwa watu 60,000 lakini idadi imepungua sana tangu pale. Watombulu wengi wameanza kuacha lugha yao na kutumia lugha nyingine. Kwa hiyo, Kitombulu iko hatarini mwa kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitombulu iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitombulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.