Kitogoyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitogoyo ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan Kusini iliyozungumzwa na Watogoyo. Hakuna wasemaji wa Kitogoyo siku hizi, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitogoyo iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitogoyo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.