Kitiwi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kitiwi (kizambarau)

Kitiwi ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Watiwi katika jimbo la Northern Territory kwenye visiwa vya Bathurst na Melville. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kitiwi ilihesabiwa kuwa watu 29 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitiwi kiko katika kundi lake lenyewe la Kitiwi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitiwi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.