Kithaypan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kithaypan (au Kigugu-Thaypan) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wathaypan katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kithaypan, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kithaypan kiko katika kundi la Kipaman.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithaypan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.