Kitetela (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitetela ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Watetela. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitetela imehesabiwa kuwa watu 750,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitetela iko katika kundi la C80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitetela (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.