Kiteshenawa
Mandhari
Kiteshenawa ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria iliyozungumzwa na Wateshenawa. Hakuna wasemaji wanaoendelea kuzungumza lugha ya Kiteshenawa, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiteshenawa iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiteshenawa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiteshenawa
- lugha ya Kiteshenawa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/twc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiteshenawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |