Kitengger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitengger ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watengger kwenye kisiwa cha Java. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitengger imehesabiwa kuwa watu 80,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitengger iko katika kundi la Kijava.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitengger kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.