Kiteluti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiteluti ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wateluti kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiteluti imehesabiwa kuwa watu 17,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiteluti iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteluti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.