Nenda kwa yaliyomo

Kiteke-Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiteke-Kaskazini (lugha))

Kiteke-Kaskazini ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo na Gabon inayozungumzwa na Wateke. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiteke-Kaskazini nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 49,300 na nchini Gabon 15,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiteke-Kaskazini iko katika kundi la B70.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiteke-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.