Kite'un

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kite'un ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wate'un kwenye kisiwa cha Teun. Wate'un walihamishwa na serikali kutoka kisiwa chao kwenda kisiwa cha Seram kwa ajili ya matukio ya kivolkeno]]. Siku hizi Wate'un hawatumii lugha yao ya asili tena, yaani lugha ya Kite'un imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kite'un iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kite'un kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.