Nenda kwa yaliyomo

Kitboli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitboli ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Watboli. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitboli imehesabiwa kuwa watu 95,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitboli iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitboli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.