Nenda kwa yaliyomo

Kitayabas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitayabas (pia Kiayta-Tayabas) ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino iliyozungumzwa na Watayabas. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kitayabas, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitayabas iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitayabas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.