Kitatana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitatana ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Watatana. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kitatana imehesabiwa kuwa watu 5500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitatana iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitatana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.