Kitangale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitangale ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Watangale. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kitangale imehesabiwa kuwa watu 130,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitangale iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitangale kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.