Kitanema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitanema ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Watanema kwenye kisiwa cha Vanikolo. Mwaka wa 2007 idadi ya Watanema imehesabiwa kuwa watu 150 lakini ni wazee wanne tu ambao wangeweza kuongea Kitanema, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitanema iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitanema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.