Kitampulma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitampulma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Watampulma. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kitampulma imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitampulma iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitampulma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.