Kitambas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitambas ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Watambas. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitambas imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitambas iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitambas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.