Kitalise
Mandhari
Kitalise ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Watalise kwenye kisiwa cha Guadalcanal. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kitalise imehesabiwa kuwa watu 12,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitalise iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitalise kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitalise
- lugha ya Kitalise katika Glottolog
- lugha ya Kitalise kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitalise kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |