Kitalinga-Bwisi (lugha)
Mandhari
Kitalinga-Bwisi (pia Lubwisi) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wabwisi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kitalinga-Bwisi nchini Uganda imehesabiwa kuwa watu 68,500. Pia kuna wasemaji kama 30,000 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitalinga-Bwisi iko katika kundi la J20.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitalinga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitalinga
- lugha ya Kitalinga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/tlj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitalinga-Bwisi (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |