Kitalaud

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitalaud ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watalaud kwenye visiwa vya Talaud. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitalaud imehesabiwa kuwa watu 82,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitalaud iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitalaud kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.