Kitala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kitala ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Watala. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kitala imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitala iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.