Kitakua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitakua ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Watakua. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitakua imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitakua iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitakua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.