Kitajio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitajio ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Watajio kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitajio imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitajio iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitajio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.