Kitaiap
Mandhari
Kitaiap ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wataiap. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitaiap imehesabiwa kuwa watu 75 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitaiap haihusiani na lugha nyingine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitaiap kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitaiap
- lugha ya Kitaiap katika Glottolog
- lugha ya Kitaiap kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitaiap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |