Kitai-Nüa
Mandhari
Kitai-Nüa ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina, Vietnam, Myanmar na Laos inayozungumzwa na Watai. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitai-Nüa nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 540,000. Pia kuna wasemaji 72,400 nchini Myanmar (1983), 70,000 nchini Vietnam (2007) na 35,000 nchini Laos (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitai-Nüa iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitai-Nüa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitai-Nüa
- lugha ya Kitai-Nüa katika Glottolog
- lugha ya Kitai-Nüa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitai-Nüa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |