Kitagbanwa-Calamian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitagbanwa ya Calamian ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Watagbanwa. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitagbanwa ya Calamian imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagbanwa ya Calamian iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitagbanwa-Calamian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.