Nenda kwa yaliyomo

Kitabriak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitabriak (pia Kikarawari) ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watabriak. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kitabriak imehesabiwa kuwa watu 2080. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitabriak iko katika kundi lake lenyewe la Kikarawari.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitabriak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.