Kisuwawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisuwawa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasuwawa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kisuwawa imehesabiwa kuwa watu 5000. Kwa vile Wasuwawa wengi wameanza kuacha lugha yake na kutumia lugha nyingine, lugha ya Kisuwawa iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisuwawa iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisuwawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.