Nenda kwa yaliyomo

Kisurjapuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisurjapuri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasurjapuri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisurjapuri imehesabiwa kuwa watu 1,220,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisurjapuri iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisurjapuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.