Kisuri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisuri (pia Kitirmaga-Chai) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wasuri. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisuri imehesabiwa kuwa watu 26,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisuri iko katika kundi la Kisurmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.