Nenda kwa yaliyomo

Kisurgujia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisurgujia ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasurgujia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisurgujia imehesabiwa kuwa watu 1,460,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisurgujia iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisurgujia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.