Kisuku (lugha)
Mandhari
Kisuku ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasuku. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kisuku imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisuku iko katika kundi la H30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisuku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisuku
- lugha ya Kisuku katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sub
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisuku (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |