Nenda kwa yaliyomo

Kistieng-Budeh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kistieng-Budeh ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wastieng. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kistieng-Budeh nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kistieng-Budeh iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kistieng-Budeh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.