Kisosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisosi ni chombo kidogo kinachowekewa kikombe cha chai au uji wa moto ili usikumwagikie. Pia hutumika kuweka mboga n.k.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Kisosi" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.