Kisongoora (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisongoora ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasongoora. Mwaka wa 1971 idadi ya wasemaji wa Kisongoora imehesabiwa kuwa watu 1300. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisongoora iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisongoora (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.