Kisonge (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisonge ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasonge. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisonge imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisonge iko katika kundi la L20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisonge (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.