Nenda kwa yaliyomo

Kisomrai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisomrai ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wasomrai. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisomrai imehesabiwa kuwa watu 7410. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisomrai iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisomrai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.