Kisobei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisobei ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasobei kwenye kisiwa cha [[Papua. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisobei imehesabiwa kuwa watu 1000. Hata hivyo, idadi ya Wasobei ni watu 1850, yaani wengi wameanza kutumia lugha nyingine badala ya lugha ya Kisobei, na Kisobei iko hatarini kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisobei iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisobei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.