Kisiwu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisiwu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wasiwu. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisiwu imehesabiwa kuwa watu 27,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisiwu iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisiwu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.